Audio za Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
…
continue reading
Musharraf al-Din Mosleh ibn Abdullah ibn Musharraf, ambaye baadaye alijulikana kama Saadi Shirazi, ni mmoja kati ya malenga na mshairi mkubwa na mashuhuri nchini Iran.Wanahistoria wanaamini kwamba Saadi Shirazi alizaliwa kati ya mwaka 600 na 610 Hijiria (sawa na takriban mwaka 1210 Miladia). Walakini, hakuna tarehe kamili inayojulikana ya kuzaliwa …
…
continue reading
ATTAR NEYSHABURI MALENGA WA KIIRANI Tarehe 25 Farvardin kwa mujibu wa ( Kalenda ya Kiirani) inayosadifiana na tarehe 14 Aprili, ni siku ya kumkumbuka na kumuadhimisha malenga wa Kiirani Farid al-Din Abu Hamid Muhammad bin Abu Bakr Ibrahim bin Is- haq Attar Neyshabouri, ambaye ni mmoja wa washairi mashuhuri, aaref na mwanafikra mkubwa wa Kiirani ali…
…
continue reading
Jumatatu ya Tarehe 21 Machi 2022 Miladia inayosadifiana na tarehe (Mosi / Farvardin 1401) ni siku ya kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Siku hii ambayo hujulikana kama Nowruz, ni mwanzo wa sherehe za kale na za muda mrefu na matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za Dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwaka Kogwa huko…
…
continue reading
Jamaluddin Abu Mohammad hakuweza kupata upendo wa wazazi wake kwa muda mrefu; kwani wazazi wake walifariki dunia akiwa bado mtoto na kupata malezi akiwa mtoto yatima. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa, Nezami Ganjavi hakuwahi kuondoka katika mji wa Ganja akiwa bado na umri mdogo, na alipofikia marika ya ujana , aliweza kujifunza sanaa na ujuzi…
…
continue reading
1
Kumbukizi ya Miaka miwili ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani 3 January 2020
10:07
10:07
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:07
kumbukizi ya miaka 2 ya shujaa mpigania haki na amani Haj Qassem Suleimani, ambapo aliuiliwa Shahidi na Majeshi dhalimu ya Marekeni mjiini Baghdad nchini Iraq. Kamanda Soleimani ambaye amepewa lakabu ya bwana wa mashahidi wa muqawama, katika umri wake wote uliojaa baraka na akiwa kamanda wa IRGC, alikuwa mstari wa mbele kuyasaidia na kuyaunga mkono…
…
continue reading
MIAKA MIWILI YA KUMBUKIZI YA KIFO CHA LUTENI JENERALI QASSEM SOLEIMANI Usiku wa manane wa kuamkia Ijumaa 3 Januari Mwaka 2020, wakati anga ya jiji la Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa tulivu, ghafla watu wa mji huo walishtushwa na kuamshwa na milio ya milipuko na kuwafanya waingiwe na taharuki wakidhani kuwa kundi la kigaidi la ISIS limeushambulia ten…
…
continue reading
Kwa maelfu ya miaka sasa, Wairani wamekuwa wakisherehekea usiku wa mwisho wa msimu wa mapukutiko (maarufu kama Shabe Yalda) kwa kutekeleza mila na desturi katika miji mbalimbali nchini Iran, usiku unaotajwa kuwa ni mrefu zaidi wa mwaka na wenye giza nene mno. Historia inaeleza kuwa, sherehe ya usiku wa Yalda ilianza zama za kale mno, na wala haifah…
…
continue reading
ujumbe wa Ayyatullah Ali Khamenei kwa Mahujaji --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/irantanzania/message
…
continue reading
Ten years after the migration (Hijrah), the Islamic prophet Muhammad ordered his followers to call upon people everywhere to join him in his last pilgrimage. Islamic scholars believe more than seventy thousand people followed Muhammad on his way to Mecca, where, on the fourth day of the month of Dhu'l-Hijjah, there were more than one hundred thousa…
…
continue reading
According to Islamic sources, the event of Mubahala was a meeting between the Islamic prophet Muhammad and a Christian delegation from Najran (present-day Saudi Arabia), in the month of Dhu'l-Hijja, 10 AH (October 631, October 631–32, October 632–33), where Muhammad called for invoking a curse to reveal who was lying about their religious differenc…
…
continue reading
Historia fu ya Maisha ya Imam Khomeini R.A --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/irantanzania/message
…
continue reading
Jina lake ni Imam Ghiyathu-ud-Din Abu al-Fat’h Umar ibn Ibrahim Khayyam Neyshabouri alikuwa ni mmoja wa wasomi wakubwa, wa hisabati na mashairi wa Uajemi ambayo ni nchi ya Iran kwa sasa. alizaliwa huko Neishabour mwishoni mwa karne ya tano na mwanzoni mwa karne ya sita. Mwaka halisi wa kuzaliwa kwake haujulikani.. Aliitwa Khayyam kwa sababu Baba ya…
…
continue reading