Jinsi Ya Kuachilia Vitu Na Watu Ambao Wamekuumiza Na Hawatambui Thamani Yako...!
Manage episode 397927808 series 3280689
コンテンツは Innocent Ngaoh によって提供されます。エピソード、グラフィック、ポッドキャストの説明を含むすべてのポッドキャスト コンテンツは、Innocent Ngaoh またはそのポッドキャスト プラットフォーム パートナーによって直接アップロードされ、提供されます。誰かがあなたの著作物をあなたの許可なく使用していると思われる場合は、ここで概説されているプロセスに従うことができますhttps://ja.player.fm/legal。
Kuachilia haijawahi kuwa jambo rahisi hasa kwa watu ambao umewathamani na kuamini wangekuwa na wewe maisha yako yote, lakini ghafla wanakuachia maumivu na kukuumiza kiakili, kimwili, kihisia. Inaumiza kuona hawatambui thamani yako na unashindwa kuachikilia na kuishia kuwa na roho ya kutaka kulipa kisasi, uchungu, hasira, msongo wa mawazo na kujichukia. Lakini... Kupitia episode hii utaweza kuachilia na kwa kujua nini ufanye ili uweze kuachilia na kuishi maisha ya furaha na amani ya moyo. Jifunze kuachilia. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
103 つのエピソード