Khadija Shamte 公開
[search 0]
もっと
Download the App!
show episodes
 
Wanawake wengi wanajikuta wana uzito fulani kuhusu mambo ya ndani(intimacy)Afya ya akili(Mental health ) ni muhimu na ni mazungumzo ambao yanabidi yazungumzwe kwa uwazi ili wanawake wasijisikie wako peke yao kwenye mambo mengi kwa hofu ya kudhalilishwa au kitiwa /kujihisi aibu kuwa wanapitia mengi yalokuwa yanawabomowa kisaikolojia.Jumuika nami tukuwa na wazungumzaji tofauti kila wiki tujijenge kiafya.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Mazungumzo haya ni kuhusu heshima za siri za kiwiliwili cha mwanamke-THE COOKIE,mafunzo,upeo wa ufahamu,madhara ya kutokuwa ya elimu hii na mapuuzaji ya kutokuweka afya mstari wa mbele.Afya na kisaikolojia na umuhimu wa kujiweka kwenye ukuwaji wa watoto wetu na pia kujuana kuheshimiana.
  continue reading
 
Kuaminiana/trust kwenye mahusiano endapo mahusiano yamepoteza kutokuaminiana,vipi mnarudi pazuri.Mbinu au jinsi Mme/Mke anasamehe makosa makubwa kwa ajili ya kuendelea kuwa kwenye mahusiano. Jamani kweli mahusiano yanaweza kuwa na nguvu baada ya kutokuaminiana,hapa ni pagumu!
  continue reading
 
Mazungumzo ya leo ni kuhusu mpango wa kando na mitihani inayopitiwa kwenye mahusiano ya ndowa.kuna mengi yepi yanayowakabili watu hata wakajikuta kwenye mtango wa entanglements. Ni kitu kinacho endelea kutoka enzi za mababu kimebadilika sura kidogo lakini bado kipo kinajionyesha sura yake tofauti.
  continue reading
 
Nini neno Deka na vitendo vyake,kwa kizungu tunasema Undivided attention. Nguvu za kike na kiume na jinsi kukuza mahusiano yetu kea kujielimisha na kuzungumza wa wapenzi wetu.kujijenga kwa mazoezi ya akili na mwili kwa vyakula na lishe na vitamin na pia kujipenda na kumpenda mpexi wako na kasoro zake.…
  continue reading
 
Loading …

クイックリファレンスガイド