Podcast de tecnologia, series, aficiones y poco de mi
…
continue reading
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
…
continue reading
Mazingira yetu radio podcast operates under the slogan ‘’empower and inform’’ by bringing to it’s listeners educative, entertaining and informative environmental podcasts that are tailor made to suit the East African audience.
…
continue reading
Come join our talks every Monday morning! Host- Madison Russell
…
continue reading
The Mazin Shaikh Show gives you a backstage pass to the most fascinating conversations with solo founders, entrepreneurs and thought leaders around the world. Hear inspiring stories from them, learn how to become one yourself, and be a part of an amazing community that's changing the world together. Rate this podcast if you enjoy listening. Happy listening!
…
continue reading
Welcome to the Yana Mazing podcast, where amazing things are spoken of throughout the world. This is an every- now-and-then podcast where you can not only hear but feel the vibration of life. I am the host, Abokiyana Love. You will enjoy poetry, entrepreneurs, branding, health/healing, and many other Yana Mazing topics. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/yana-mazing/support
…
continue reading

1
Utupaji salama wa taka za kieletroniki, mashirika yachangamkia fursa kuokoa mazingira
9:57
9:57
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:57Taka za kieletroniki zinajumuisha vitu vingi ambavyo ni hatari kwa afya ya binadamu na mazingira na utupaji ovyo ni chanzo kikuu cha madhara, dutu hizi hatari zikiwa na uwezo wa kuchafua udongo, maji, hewa na vyanzo vya chakula. Shirika la E-Waste Initiative Kenya linatoa suluhu ya taka za kieletroniki. Bonyeza hapa kufahamu zaidi.…
…
continue reading
Un poco de tecnología y un mucho de afición recuperada
…
continue reading

1
Mwali wa mwisho: Mkaa wa Briketi kama suluhu ya nishati jadidifu
9:59
9:59
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:59Mkaa wa Briketi hutengenezwa kutoka kwa vumbi la mkaa wa kawaida, taka za kilimo au mabaki ya mbao, na hutumiwa kimsingi kwa mapishi nyumbani, shuleni na hata katika makampuni. Mkaa huu una faida kwa kuwa unapunguza uchafuzi wa mazingira, kupunguza ukataji wa miti lakini pia huwaka kwa muda mrefu na kwa usawa zaidi kuliko mkaa wa kawaida, na kuufan…
…
continue reading

1
Umuhimu wa matumizi ya madawa ya kiasili kunyunyuzia mimea shambani
10:01
10:01
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:01Makala haya yanazungumzia jinsi Wakulima wengi nchini Kenya wanakumbatia mbinu mpya za kudhibiti wadudu waharibifu wa mimea kwa kutumia madawa ya kiasili badala ya kemikali za viwandani. Kutokana na madhara yanayotokana na matumizi ya dawa za kemikali,wakulima hawa sasa wanageukia madawa hayo asilia kuimarisha mazao na mazingira , Mimea kama vile ,…
…
continue reading

1
Wakaaji wa mijini wanavyotumia Bustani ya Nyumbani kukabili mabadiliko ya tabia nchi
9:57
9:57
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:57Utunzaji wa bustani ya nyumbani, ni mbinu mpya ya kilimo inayolenga kutimiza malengo matatu kwa wakati mmoja: kuongeza mapato ya kilimo, kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kuimarisha ustahimilivu, halkadhalika kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi. Bustani ya Nyumbani, kwa kawaida huwa karibu na jikoni au pia kwenye roshani. Bustani hii am…
…
continue reading

1
Hatua ya Marekani kujiondoa kwa mkataba wa Paris kuathiri nchi maskini
9:58
9:58
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:58Rais Donald Trump kwa mara nyingine alitangaza Marekani kujiondoa kwenye Mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, hatua ambayo imeibua mjadala wa kimataifa. Tangazo hilo lilikuja huku ulimwengu ukishuhudia viwango vya joto vinavyovunja rekodi na majanga yanayozidi kuwa makali yanayohusiana na hali ya hewa. Lakini wadadisi wa mambo na viong…
…
continue reading

1
Kenya: Jinsi nguo za mitumba zinachangia katika uharibifu wa mazingira
15:26
15:26
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
15:26Sekta ya mitumba inauwezo wa kuchangia mabilioni ya fedha katika mapato ya taifa, pamoja na kutoa maelfu ya ajira katika mataifa ya bara Afrika na ulaya. Kulinga na utafiti wa Oxford Econimics mwaka uliopita; 2024, sekta ya mitumba pekee ina dhamani ya dola bilioni 8 na imetoa ajiri ya idadi ya zaidi laki moja na elfu 60 kwa vijana nchini Msumbiji,…
…
continue reading

1
Raia wakubali kuachana na matumizi ya kuni lakini nishati safi ni ghali kwao
9:59
9:59
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:59Matumizi ya kuni yanaweza kuwa na athari chanya na hasi kwa mazingira, kulingana na jinsi zinavyovunwa, kutumiwa na kusimamiwa. Leo mwandishi Christopher Karenzi kutoka Kigali, Rwanda ameangazia hatua ya kuondokana na matumizi yake lakini changamoto pia raia wanazokumbana nazo.RFI Kiswahili による
…
continue reading
Es CES es algo que a todos los geeks no pone los ojos como platos. Aquí os dejo algunas pinceladas del de este año.
…
continue reading

1
Matumizi ya kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabia nchi Afrika mashariki
10:05
10:05
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:05Mashirika kadhaa ya kilimo pamoja na serikali ya Kenya yaliwakutanisha wadau wa kilimo—wakulima, wataalamu wa mabadiliko ya tabianchi, na watunga sera—jijini Nairobi mwezi Novemba mwaka uliopita. Mkutano huo ukilenga kuweka bayana mwelekeo wa kutumia kilimo kinachokabili mabadiliko ya tabianchi yaani climate smart agriculture ili kuongeza uzalishaj…
…
continue reading
Hay que empezar el año grabando. Espero que este sea buen año de podcasting
…
continue reading
Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi. Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi.RFI Kiswahili による
…
continue reading

1
Dampo la Nkumba- Tishio kwa ziwa Victoria na maisha ya jamii za Uganda
10:01
10:01
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:01Makala haya yanazungumzia jinsi dampo la Taka la Nkumba nchini Uganda limekuwa tishio la kimazingira kwa ziwa victoria ambalo ndilo chanzo kuu cha mto Nile.Baada ya dampo la Kiteezi jijini Uganda kuporomoka Agosti 9 mwaka wa 2024 na kuwauwa watu kadhaa,serikali nchini humo ilitoa amri taka zote kutoka Kampala ielekezwe Nkumba karibu na ziwa ,hatua …
…
continue reading
En este podcast hago un breve recorrido de como pasaron por mi los videojuegos y las consolas
…
continue reading

1
Mwanzo mpya: vijana wa Pwani ya Kenya wajijenga upya kupitia kazi za mazingira
10:07
10:07
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:07Katika miji ya pwani ya Kenya, vita dhidi ya uraibu vimepata mwelekeo mpya wa kusisimua. Kupitia miradi ya kimazingira, vijana kutoka vituo vya kuwarekebisha tabia hawajizuia tu na mihadarati, bali wanabadili jamii zao pia kupitia miradi hiyo. Mwanahabari wetu Victor Moturi alitembelea Mtopanga, Kaunti ya Mombasa, ambako vijana wamepata matumaini k…
…
continue reading
Pues como los geek somos de culo inquieto, hay que ir añadiendo cosillas.
…
continue reading

1
Wataalam wa mazingira: Kuchakata plastiki sio suluhu ikiwa nchi zinazalisha zaidi
10:00
10:00
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:00Mkutano wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulikamilika mwanzoni mwa Disemba 2024 bila mwafaka kufikiwa, wataalam wa mazingira wakisema pendekezo la kuchakata plastiki wakati nchi nyingine zikiendelea kuzalisha sio suluhu la tatizo hilo. Kwenye makala hii leo tunaangazia athari za plastiki kwa afya na mazingira, suluhu zinazopendekezwa lakini pi…
…
continue reading

1
COP29: Wanamazingira wapendekeza ufadhili zaidi kwa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
9:59
9:59
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:59Mkutano wa hali ya hewa COP29 ukiendelea nchini Azerbaijan, masuala yanayoibua changamoto ni ufadhili, mchakato wa kuondokana na mafuta kisukuku, athari ambazo zimekumba bara la Afrika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa viwango vya joto lakini pia suluhu zinazopendekezwa na wataalam wa mazingira. Kauli mbiu ya mwaka huu kwenye mku…
…
continue reading
Pues en este episodio, hablo un poco de lo triste que es el ser humano, intentando meter su discurso aunque sea con mentiras, después de lo ocurrido en Valencia. Todo lo que cuento detrás de eso en el podcast, carece de importancia después de lo ocurrido.PUXA VALENCIA
…
continue reading

1
Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024
10:01
10:01
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:01RFI Kiswahili による
…
continue reading
Como casi siempre, un poco de todo en este episodio
…
continue reading

1
Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingira
9:17
9:17
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:17RFI Kiswahili による
…
continue reading
Un poco de todo. IA, domótica, series. Vamos que no sabia de hablar y hable de todo.
…
continue reading

1
DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasi
10:08
10:08
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:08RFI Kiswahili による
…
continue reading
Bueno contando cosillas, acabo llegando al mundo peligroso de wallapop
…
continue reading
En esta ocasión os doy la chapa con un repaso, con las series que he visto recientemente.
…
continue reading

1
Siku ya kimataifa ya uhamasisho kuhusu upotevu na utpaji wa chakula
10:04
10:04
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:04RFI Kiswahili による
…
continue reading
Con el cambio de piso y de decoración, he recuperado un dispositivo, que me hace sentir especialmente bien.
…
continue reading

1
Siku ya kimataifa ya kufanya usafi wa mazingira na matumlizi ya teknolojia
10:07
10:07
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:07Katika dunia ya sasa ambapo ukuaji wa teknolojia ni wa kasi ya juu, wabunifu katika jamii za pwani nchini Kenya, wamekumbatia matumizi ya teknolojia katika kupiga jeki juhudi za kupunguza taka kwenye mazingira wanayoishi.RFI Kiswahili による
…
continue reading
Como la mayoría sospechareis, ese parque (o al menos uno de ellos) de atracciones Geek, no es otro que la Euskal Enconter. En este podcast cuento un poco mi paso por ella.
…
continue reading
En este podcast resumo todas las novedades de los iPhone 16
…
continue reading
Despues de un breve descanso, vuelvo con mas ganas que nunca... Espero que no sean pasajeras.
…
continue reading

1
Wahifadhi wahofia kudidimia kwa tembo aina ya "Super Tusker'
9:59
9:59
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:59Wanasayansi na wahifadhi wameibua hofu ya kutokomea kabisa kwa tembo aina ya "Super Tusker" ambaye pembe yake moja ina kilo takriban 45, ikiwa hatua hazitachukuliwa ili kuzuia uwindaji wao. Katika mbuga ya Amboseli inayopakana na Kenya na Tanzania, ndovu hawa wamebaki kumi pekee.RFI Kiswahili による
…
continue reading

1
Mchango wa mashirika yasio ya kiserikali kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwa jamii nchini Kenya
10:13
10:13
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:13Katika maadhimisho ya wiki ya maji duniani 2024, makala haya yameangazia mradi wa WASH unaofanywa na shirika la SHOFCO mtaani Kibera, kusambaza maji safi ya matumizi kwa wakaazi wa kitongoji hicho chenye changamoto za upatikanaji wa maji safi.RFI Kiswahili による
…
continue reading

1
Matumizi ya taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)
9:45
9:45
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:45Kundi la vijana la Vision Bearers la mtaani Mathare, jijini Nairobi linavyotumia taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)RFI Kiswahili による
…
continue reading

1
Kenya: Namna mabaki ya ngozi ya samaki yanavyotumiwa kuhifadhi mazingira
9:20
9:20
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
9:20Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata hivyo wenyeji sasa wengi wao vijana wameanza kutumia taka hizo kutengeza bayogesi na bidhaa zingine kama vile viatu,nguo,begi mifuko na kadhalika hivy…
…
continue reading

1
Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na sera zinazotishia mapato ya wakulima wadogo nchini Kenya
10:03
10:03
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:03RFI Kiswahili による
…
continue reading

1
Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na kiasili na shirka la Seed Savers Network
10:01
10:01
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
10:01RFI Kiswahili による
…
continue reading
Desgraciadamente no siempre las cosas son como deben. Muchas veces que son incompatibles e injustas.Gracias a todos los que me habéis animado
…
continue reading
Las modificaciones que le hice a mi actual pc. Como fui modificando el pc con pequeños cambios hasta llegar a la configuración actual.Es el primer podcast grabado, editado y subido completamente con el PC.Os meto un enlace al video del pc, que ya os digo que la música esta muy alta, pero la bajáis. jeje.https://photos.app.goo.gl/kYtKfWPRUSGEYAMd6…
…
continue reading
Resumen con pequeños cortes, de lo que fue la la Kdd de CacharreoGeek en Madrid.
…
continue reading
De viaje. Un abrazo para Miguel Ángel Cabrera. Nos hemos metido en el retrogaming Mi experiencia con el montaje de un Lego.
…
continue reading
Movimientos en el tema de multimedia en un los últimos meses. Tele nueva, barra de sonido nueva. Otras cosas quedaron atrás.Y me caguen iVoox que me obliga a meter una descripción larga.
…
continue reading
Podcast nuevos. No se si hubo Trolls. Aspiradora paseando por casa.Por cierto, manda narices que iVoox te obliga a escribir más de 150 caracteres
…
continue reading
Últimamente han pasado por mis manos varias tablets. Pues ahí vas mi experiencia
…
continue reading
Recientemente he adquirido un NAS. Recientemente me deshecho de un NAS
…
continue reading
Después de mi última venta, cuento cómo me da pena de que algunas cosas vayan a manos poco cuidadosas
…
continue reading
Pues nada, que ha tocado la lotería en Cacharreo Geek. Aún estamos flipando
…
continue reading
Este podcast no va de tecnología, ni de series, ni de turismo. Va de mi y lo que me ha pasado en los últimos tiempos.NO ESCUCHAR SU ERES NUEVO OYENTE.P.D: Ojo que muy bajonero el audio
…
continue reading

1
Video Voyeuristic Opportunistic/ New Age Sex Offenders 2021 Exclusive
1:34:39
1:34:39
「あとで再生する」
「あとで再生する」
リスト
気に入り
気に入った
1:34:39You might want to ride out and listen to this one. XYZ and ABC now I know you or your mans going to try at least defend your innocence. We will see each other in court. Listeners and Lovers my single, "Libra" will be dropping soon. Thanks for all the support. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/yana-mazing/messageSu…
…
continue reading