Artwork

コンテンツは Soma Biblia によって提供されます。エピソード、グラフィック、ポッドキャストの説明を含むすべてのポッドキャスト コンテンツは、Soma Biblia またはそのポッドキャスト プラットフォーム パートナーによって直接アップロードされ、提供されます。誰かがあなたの著作権で保護された作品をあなたの許可なく使用していると思われる場合は、ここで概説されているプロセスに従うことができますhttps://ja.player.fm/legal
Player FM -ポッドキャストアプリ
Player FMアプリでオフラインにしPlayer FMう!

Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2

32:59
 
シェア
 
アーカイブされたシリーズ ("無効なフィード" status)

When? This feed was archived on October 07, 2020 15:10 (3+ y ago). Last successful fetch was on November 02, 2019 01:36 (4+ y ago)

Why? 無効なフィード status. サーバーは持続期間に有効なポッドキャストのフィードを取得することができませんでした。

What now? You might be able to find a more up-to-date version using the search function. This series will no longer be checked for updates. If you believe this to be in error, please check if the publisher's feed link below is valid and contact support to request the feed be restored or if you have any other concerns about this.

Manage episode 210274886 series 2357074
コンテンツは Soma Biblia によって提供されます。エピソード、グラフィック、ポッドキャストの説明を含むすべてのポッドキャスト コンテンツは、Soma Biblia またはそのポッドキャスト プラットフォーム パートナーによって直接アップロードされ、提供されます。誰かがあなたの著作権で保護された作品をあなたの許可なく使用していると思われる場合は、ここで概説されているプロセスに従うことができますhttps://ja.player.fm/legal

"Sawa nimeelewa Mungu ananipenda, na anapenda kuwa rafiki yangu, lakini mbona sioni kabisa upendo wake katika maisha yangu?" Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?

Pia tunaweza kuwa na taabu ambayo sio rahisi kwa mwingine kugundua. Tusijidanganye na kusema hatuna shida iliyofichwa. Tunayo. Na wewe unaweza kuona kwamba shida yako inazidi, na inakuwa ngumu kiasi kwamba hujui kinachofuata ni nini. Katika hali hii unaweza kuona kutokujaliwa na Mungu kabisa. - Na kusikia juu ya upendo wake inasababisha tu ukasirike. ”Upendo ndio huo, basi. Haina kitu kwangu”.

Tuko katika maada mgumu sana na haina jibu kwa rahisi.

Kusikiliza, unaweza kubonyeza "play" hapa chini, au kudownload na kusikiliza muda wowote na kushirikisa kwa wengine.

Kusikiliza kwa njia ya Youtube, bofya hapa

  continue reading

6 つのエピソード

Artwork
iconシェア
 
すべてのエピソード

×
 
Loading …

プレーヤーFMへようこそ!

Player FMは今からすぐに楽しめるために高品質のポッドキャストをウェブでスキャンしています。 これは最高のポッドキャストアプリで、Android、iPhone、そしてWebで動作します。 全ての端末で購読を同期するためにサインアップしてください。

クイックリファレンスガイド