Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Biashara ya mkaa inavyoharibu mazingira

9:55
 
シェア
 

Manage episode 291463428 series 1146275
著作 France Médias Monde and RFI Kiswahili の情報はPlayer FM及びコミュニティによって発見されました。著作権は出版社によって所持されます。そして、番組のオーディオは、その出版社のサーバから直接にストリーミングされます。Player FMで購読ボタンをタップし、更新できて、または他のポッドキャストアプリにフィードのURLを貼り付けます。
Biashara ya mkaa ni moja kati ya mambo yanayochangia pakubwa uharibifu wa misitu katika maeneo mengi ya ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na ukataji wa misitu kwa matumizi ya mkaa. Ripoti iliyotolewa na shirika la Global initiative against transnational organized crimes, nchi ya Kenya inaongoza katika biashara ya mkaa, nchi zingingine zikiwa Uganda, Sudan Kusini na pia Tanzania.

65 つのエピソード