Lionell Messi ashinda tuzo ya Ballon d'Or 2021

10:01
 
シェア
 

Manage episode 308389389 series 1143115
著作 France Médias Monde and RFI Kiswahili の情報はPlayer FM及びコミュニティによって発見されました。著作権は出版社によって所持されます。そして、番組のオーディオは、その出版社のサーバから直接にストリーミングされます。Player FMで購読ボタンをタップし、更新できて、または他のポッドキャストアプリにフィードのURLを貼り付けます。
Mchezaji wa soka kutoka Argentina, anayechezea klabu ya Paris Saint Germain Lionell Messi ameshinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu, tuzo inayotolewa nchini Ufaransa . Hii ni tuzo yake ya saba. Aliwashinda wachezaji wenzake Robert Lewandowski na Jorginho. Nini maoni yako kuhusu hili?

457 つのエピソード