Habari RFI-Ki - Changamoto ya upatikanaji wa chanjo ya Covid 19 barani Afrika

10:06
 
シェア
 

Manage episode 301124051 series 1143115
著作 France Médias Monde and RFI Kiswahili の情報はPlayer FM及びコミュニティによって発見されました。著作権は出版社によって所持されます。そして、番組のオーディオは、その出版社のサーバから直接にストリーミングされます。Player FMで購読ボタンをタップし、更新できて、または他のポッドキャストアプリにフィードのURLを貼り付けます。
Kwa mara nyingine viongozi wa Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kuondoa haki miliki katika utengenezaji wa chanjo ya Covid 19 wakati huu wakilalama kutokuwepo na usawa . Unaamini wito wao utasababisha kupata dozi zaidi ? Unafikiri kwa nini bara la Afrika limechoma idadi ndogo zaidi ya chanjo na hali ikoje kwenye nchi yako ? Tutumie maoni yako kwenda namba yetu ya watsapp ukianza na +254 110 000 420

434 つのエピソード