Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Madhara ya kutoweka kwa misitu na mabadiliko ya tabia nchi

10:09
 
シェア
 

Manage episode 291463429 series 1146275
著作 France Médias Monde and RFI Kiswahili の情報はPlayer FM及びコミュニティによって発見されました。著作権は出版社によって所持されます。そして、番組のオーディオは、その出版社のサーバから直接にストリーミングされます。Player FMで購読ボタンをタップし、更新できて、または他のポッドキャストアプリにフィードのURLを貼り付けます。
Misitu ni uhai, kama ilivyo kwa maji na viumbe hai wengine katika mazingira yetu. Wataalamu wanasema sehemu kubwa ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoshuhudiwa sasa duniani, zimechangiwa na kutoweka kwa misitu kunakotokana na shughuli za binadamu. Nchini Kenya, mamlaka kwenye taifa hilo zinapanga angalau ifikapo mwaka 2022, taifa hilo liwe na ongezeko la kiwango cha asilimia 10 ya misitu, kutoka asilimia 7.2 ya sasa, ambapo itahitaji kupanda miti bilioni 1 na laki 8.

72 つのエピソード